Tanzania ni nchi isiyo na dini ila watanzania wana imani na dini zao. Tanzania, ni nchi na si binadamu, mtanzania ni binadamu na wala si nchi. Hivyo watanzania hawa kwa kuwa wanamwamini Mungu basi katika mambo muhimu na rasmi yanayohusu nchi, watanzania hawa huyaanza kwa kumuomba na kumshukuru Mungu. Huu ni wito tosha kwetu sote pamoja na viongozi wetu kusali kabla na baada ya shughuli zetu.Changamoto mpya kwa maendeleo ya nchi yetu - Hofu ya Mungu na upendo kwa Jirani ni muhimu hasa!
WIMBO WA TAIFA WA TANZANIA
Mungu ibariki Afrika God bless Africa
Wabariki Viongozi wake Bless its leaders
Hekima Umoja na Amani Wisdom, unity and peace
Hizi ni ngao zetu These are our shields
Afrika na watu wake. Africa and its people
Kiitikio: Chorus
Ibariki Afrika, Ibariki Afrika Bless Africa, Bless Africa
Tubariki watoto wa Afrika. Bless us, the children of Africa
Mungu ibariki Tanzania God bless Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja Grant eternal freedom and unity
Wake kwa Waume na Watoto To its women, men and children
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. God bless Tanzania and its people
Kiitikio: Chorus:
Ibariki Tanzania, Ibariki Tanzania Bless Tanzania, Bless Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania. Bless us, the children of Tanzania
No comments:
Post a Comment