Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika - Tanzania Bara |
Miaka 50 ya Uhuru. Siku ya Uhuru Mwalimu Julius Kambarage alibeba bango lililoandikwa
"Tanganyika 1961 Complete Independence." Leo miaka hamsini baadaye watanzania wajiuliza je, ni kweli kuwa tu huru?
Nchi imefanikiwa katika mengi, lakini pia kuna changamoto za kutosha ambazo bado zi mbele yetu watanzania...
Heri ya Siku ya Uhuru Watanzania wote...
Tuangalie mazuri tuliyofanikiwa na yatutie nguvu kusonga mbele zaidi...
Makosa tuliyofanya yawe kweli vyanzo vizuri vya kupiga hatua mbele zaidi
Siku ya Uhuru wa Ghana rais Kwame Nkrumah wa nchi hiyo alisema " Ghana you are free for ever" Haya ndo maneno ambayo napenda tuyaseme kwa taifa letu tukufu la Tanzania. "TANZANIA YOU ARE FREE FOR EVER!"
TANZANIA HAPPY GOLDEN JUBILEE - GOD BLESS YOU MY DEAR TANZANIA
No comments:
Post a Comment