Mwalimu wa hesabu akionyesha moja ya matumizi ya hesabu nyumbani |
Kama ilivyo ada kwa waalimu wanafunzi wa mwaka wa tatu chuoni STEMMUCO hupata fursa ya kufunza darasa dogo kila mwaka. Mwaka huu wa taalumu zoezi hilo limeanza Jumamosi ya tarehe 10 Novemba 2012. Vipaji, kujituma na uwezo wa walimu wanafunzi wa chuo hapo vimeendelea kudhihirika. Hapa ni sehemu kidogo ya kilichojiri katika moja ya Jumamosi hizo.
Mwalimu wa Jiografia na mabadiliko ya hali ya hewa |
Mwalimu wa Kiingereza kazini |
Mwalimu wa Historia kazini - Vita ya Majimaji |
No comments:
Post a Comment