Mtaalamu wa burudani za mafunzo akiburudisha na kuelimisha wageni waalikwa siku ya hiyo ya ufunguzi wa mwaka wa masomo.
Burudani hii murua ilitufunza namna ya kupokea tofauti na vipaji vyetu na kuendelea kuishi kati jumuiya moja kwa upendo na mafanikio. Burudani nyingi zilitolewa na kundi hili maarufu la SAUT TRAVELLING GROUP (STG)
Huyo msanii, nimemsikiliza na kugundua kuwa ni mtu mwenye kipaji cha juu sana, hongera dada!
ReplyDelete