- TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA NCHINI NI KUBWA KIASI GANI?
- JE VIJANA WANAFANYA NINI KUJIKWAMUA NA TATIZO HILI?
- KWANINI WASANII WENGI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA HAWANUFAIKI VILIVYO KUTOKANA NA KAZI ZAO?
- JE AZAKI/ ASASI ZIPI ZIPO TAYARI KUWASAIDIA VIJANA WATAFUTA MSAADA?
- MASWALI HAYA NA MENGINE MENGI YANAJIBIWA KATIKA KITABU HIKI.
KITABU HIKI KINAPATIKANA TPH BOOKSHOP Dar es Salaam, POSTA MPYA, MTAA WA SAMORA, KWA BEI UNAYOWEZA KUIMUDU