Emmanuel N'Djoke Dibango - maarufu zaidi Manu Dibango (12 .12. 1933) ni mwanamuziki mkongwe wa Kameruni. Maarufu mno kwa vyombo vya kupuliza.
Franco Luanzo Makiadi (6.6.1938 - 12.10.1989) alikuwa mwanamuziki mashuhuri mno nchi Kongo-Kinshasa, Afrika na duniani kwa ujumla.
Fela Anikulapo Kuti (15.10.1938 - 2.08.1997) Alikuwa mwanamuziki mashuhuri sana huko Nigeria. Aliweza kutumia vyombo anuwai vya muziki.
Oliver Mtukudzi (22.09.1952). Ni mmoja kati ya wanamuziki Maarufu nchini Zimbabwe na barani Afrika kwa ujumla.
Frank Humplick (03.04.1927- 25.08.2007) Mwanamuziki mTanzania ambaye hajulikani sana na kizazi cha wapenda muziki nchini Tanzania. Hapa historia yake inaelezewa na mtandao wa
jamii forums
Salif Keita (25.08.1949) Mwanamuziki mashuhuri kutoka
Mali
Youssou N'Dour (1.10.1959) ni mwanamuziki kutoka Senegali
Marijabu Rajabu ( Kuzaliwa? - kifo 23.03.1995) hapa anaelezewa vyema na mtandao wa kwanzajamii
Mbaraka Mwaruka Mwinshehe (Kuz - Kifo )