Showing posts with label Ubunifu. Show all posts
Showing posts with label Ubunifu. Show all posts

Wednesday, August 24, 2016

INNOVATION IS THE MOTHER OF DEVELOPMENT: UVUMBUZI NI MAMA WA MAENDELEO TANZANIA TUPO WAPI?


Uvumbuzi huendana na ubunifu. Kila mvumbuzi ni mbunifu. Ripoti ya dunia inaonyesha kuwa nchi zenye uwezo mkubwa kutumia uvumbuzi ama kuuzalisha zinaendelea vyema zaidi kiuchumi kwa kuwa uvumbuzi ni kichocheo muhimu cha maendeleo.
Ripoti ya uvumbuzi duniani inaonyesha kuwa nchi za Afrika zipo mbali mno kwenye orodha hiyo, japokuwa Kenya, Rwanda, na Madagascar zimetajwa kama nchi zenye kuibukia kwenye uvumbuzi. Tanzania haitajwi katika kundi la nchi zinazoibukia katika kundi hilo na wakati huohuo tunataka kuingia uchumi wa kati. Kuingia uchumi wa kati inawezekana; hakuna jambo lolote lenyekufuata kanuni za kimantiki lisilowezekana hapa duniani. Hivyo Tanzania inaweza kuingia uchumi wa kati ifikapo 2025, hata hivyo ili jambo hilo liwezekane basi tunalazimika kufanya mambo mengi kuboresha mambo mengi yenye kuendesha uchumi wa nchi. 
Lazima tubadilishe mfumo wetu wa elimu ili elimu hiyo iwajengee watoto wetu uwezo mkubwa wa kufikiria, kutafakari mambo kwa kina na kutatua matatizo ya jamii. Elimu yetu iondokane kwenye kasumba tu ya cheti; tuwapime wahitimu wetu kwa uwezo wao kutatua matatizo ya jamii.

Tunalazimika kuboresha kwa kina hasa maisha na huduma mbalimbali za kijamii za watu wanaoishi vijijini; umasikini mkubwa Tanzania upo vijijini. Maisha vijijini hutegemea zaidi kilimo, kwahiyo basi tunalazimika kukiboresha kwa juhudi kubwa kilimo chetu. Kilimo kiongezewe thamani kwa kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya kusindika mazao hayo. 

Yanaweza kufanyika mengi haya ni kwa uchache tu. Tukiboresha elimu na kuweza kuchochea uwezo wa fikra za watu wetu hapo tutakuwa tumefanikiwa....

Soma sasa kwa Kiingereza ripoti ya uvumbuzi duniani: 

Switzerland has held onto its title as the world’s most innovative economy in the latest Global Innovation Index.
The 2016 index, produced by the World Intellectual Property Organization (WIPO), Cornell University and INSEAD, assesses the innovation performance of 128 global economies. This year is notable for China’s breakthrough into the top 25. It marks the first time a middle-income country has taken a place among highly-developed economies in the survey’s 9-year history.

The top 10



 These are the world's most innovative countries

Switzerland claims the top spot as the world’s most innovative economy – a position it has held for six years. The European nation scores highly on a range of indices, from government effectiveness to business sophistication, and creative goods and services.
Sweden climbs one place to take second, swapping places with the United Kingdom. It scored highly on infrastructure, human capital and research.
An all-European top 3 is completed by the United Kingdom. Like Sweden, it scored highly for infrastructure, as well as market sophistication and creative outputs.

The rise of China

For the first time since the index started, China takes a place in the top 25, rising from 29th last year.
The report attributes this to improved performance, as well as methodological changes in the index. However, the authors highlight the continuing “innovation divide” between the developed and developing world. The majority of innovative activity is concentrated in high-income economies and a few middle-income economies, including China, India and South Africa.

However, there is good news, with several African economies named “innovation achievers”. They include countries like Kenya, Madagascar and Rwanda, and were found to perform at least “10% higher than their peers for their level of GDP”.

The importance of innovation

Innovation remains a key driver of economic growth, as highlighted by both the Global Innovation Index and the World Economic Forum’s Global Competitiveness Report.
Innovation is one of the 12 pillars of competitiveness in the Forum’s report, and it looks set to play an ever more important role, says Margareta Drzeniek Hanouz, one of the economists behind the report.
“In the future, a country’s socio-economic progress will be increasingly determined by its ability to innovate and adapt quickly to new environments. Scientific and technological research and development, creativity, new business ideas and the ability to implement new business models will also increasingly determine a country’s success.”

https://www.weforum.org/agenda/2016/08/these-are-the-world-s-most-innovative-economies?
utm_content=buffer33cfc&utm_medium=social&utm_source=twitter.com&utm_campaign=buffer

Picha toka: https://tanzict.or.tz/